Duka la Claude Code Skills
Skills zinazofanya kazi halisi, si demo
Skills za kiwango cha production kwa Claude Code β zimejengwa, zinatumika na kupimwa kila siku kwenye miradi halisi. Lipa kwa mobile money, download papo hapo, imiliki milele.
5
skills tayari kuuzwa
20+
edits halisi zimechapishwa
4
mitandao ya malipo
Chagua skill yako
Kila moja ni pipeline kamili ya production β sio prompt pack.
Aura Edit Engine
v2.4Weka movie moja. Toa edit moja iliyoshikana na beat. Chini ya saa moja.
- βBeat detection kutoka wimbo wowote β kila cut inaangukia kwenye onset halisi, si karibu nayo
- βImpact FX kamili: punch zoom, shake, white flash, split-screen za diagonal
- βMfumo wa caption za kisinema (Cinzel, accent za amber) wenye muundo wa hook unaolazimisha rewatch
Aura Forge
v1.3Injini ya aura edit β bila movie. Inajengwa kutoka picha za AI.
- βCamera moves 38 za kusanisi zenye motion blur halisi ya sub-frame β zinarenderiwa 4x kisha kuunganishwa, si blur filter
- βDramatic events 22 zilizopangwa pamoja na weather inayoendelea (mvua, moshi, ukungu, majivu)
- βVibe presets: grade + moves + events + pacing vimefungwa kwenye wimbo
FateCut Story Editor
v2.0Micro-story za movie za sekunde 45-59 zenye caption za dialogue halisi.
- βMovie moja uliyoidhinishiwa ndani, micro-story mbadala ya 1080Γ1920 nje
- βScene mining kwa transcript: inapata lines na reactions ambazo plot yako mpya inahitaji
- βStory mbadala: dialogue ya asili inapangwa upya, kamwe hai-record-iwi upya
Three Tools Shorts
v1.0Short ya viral ya "THIS 3 AMAZING TOOLS" β demo za product kwa code, brand yoyote.
- βRamani kamili ya scene za 41.4s: hook, price flip, segments tatu kwa namba, re-hook, CTA
- βMockups tatu za product kwa code: mauzo ya chat, malipo ya mobile money, delivery tracker + report card
- βFlip ya PAIDβFREE yenye nafasi ya mascot pattern-interrupt
Plushie Warning
v1.0Ad ya mascot warning mtindo wa okipi β utulivu wa kutisha, word-stacks za Kiswahili, hard cuts.
- βFormat kamili ya mtindo wa okipi: utulivu wa kutisha, hard cuts, interstitials nyeupe
- βMfumo wa caption za word-stack za Kiswahili wenye sheria ya timing ya format
- βMdomo wa mshono unaoishi kwenye picha za mascot β hakuna 3D wala software ya animation
Jinsi inavyofanya kazi
Kutoka malipo hadi skill inafanya kazi β chini ya dakika tano.
Chagua skill
Soma ukurasa wa skill β features, mahitaji, na sehemu ya ukweli wa wazi. Unajua unachonunua kabla ya kulipa.
Lipa kwa simu
Weka namba yako ya mobile money β prompt ya malipo inakuja kwenye simu yako. Weka PIN, imekamilika.
Download & tumia
Link ya download inafunguka papo hapo (na kuingia kwenye email yako). Unzip kwenye folder ya skills za Claude Code β anza kutumia.
Zilizotengenezwa na skills hizi
Edit halisi zilizopostiwa kutoka humu β si mockup wala demo.
Delivery ya papo hapo
Lipa kwa mobile money push β link yako ya download inaonekana pale malipo yanapoingia, na inakufikia pia kwa email.
Zinapimwa kila siku
Hizi si prompt pack. Kila skill inafanya kazi kwenye production halisi kabla haijawekwa hapa.
Zina version + updates
Skills zinakuja na changelog. Link yako inakupa build mpya zaidi ya version yako.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Claude Code skill ni nini?+
Ni folder ya maelekezo, scripts na references ambayo Claude Code (AI coding agent ya Anthropic) inasoma na kuitumia kufanya kazi maalum kwa kiwango cha mtaalamu. Ukinunua skill, unapata pipeline nzima β sio maelekezo tu.
Nahitaji kujua coding?+
Hapana. Unaongea na Claude Code kwa lugha ya kawaida β skill ndiyo inayofanya kazi ngumu. Utahitaji tu kufunga tools za bure zilizoorodheshwa kwenye kila skill (kama ffmpeg au Node.js), na Claude Code inaweza kukusaidia hata hilo.
Delivery inafanyaje kazi?+
Baada ya malipo kukamilika, link ya download inaonekana papo hapo kwenye ukurasa β na nakala inatumwa kwenye email yako. Link inaruhusu downloads 10, kwa hiyo unaweza kurudi tena.
Updates zinapatikana vipi?+
Link yako ile ile ina-download build mpya zaidi ya version yako kuu β bure. Version kuu mpya (mfano v2 β v3) ni nunuo jipya.
Nikikwama au skill haifanyi kazi?+
Tuma email support@dukabotai.com β tunajibu haraka. Kama skill haiwezi kufanya kazi kwenye setup yako na tushindwe kuitengeneza, tunarudisha pesa.
Anza na skill ya kwanza leo
Malipo ya mobile money. Download ya papo hapo. Support ya kweli.
Angalia skills